SAMPLE LESSON FORMAT FOR MPANGO KAZI WA UHIFADHI KAZI ZA FASIHI SIMULIZI- KISWAHILI KIDATO CHA PILI
1. CLASS INFORMATION
DATE STREAM PERIOD TIME NUMBER OF STUDENTS
40 Mins. REGISTERED PRESENT

2. COMPETENCE:
Hifadhi kazi za fasihi simulizi

3. GENERAL OBJECTIVES:
Kusanya na kuhifadhi kazi ya fasihi simulizi

4. SPECIFIC OBJECTIVES:
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze: kubainisha njia za kuhifadhi kazi za fasihi simulizi, ubora na udhaifu wa kila njia.

5. MAIN TOPIC
UHIFADHI KAZI ZA FASIHI SIMULIZI

6. SUB-TOPIC
4.1 Njia za kuhifadhi fasihi simulizi.

7. TEACHING/ LEARNING MATERIALS
Kiswahili Kidato Cha Pili, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania

 8. TEACHING/LEARNING AIDS
Vinasa sauti na Kaseti zake.

TEACHING STRUCTURE
STAGE TIME TEACHER'S ACTIVITIES STUDENT'S ACTIVITIES   ASSESSMENT
INTRODUCTION 5 Kwa kutumia vitabu, vinasa sauti kanda mbalimbali mwalimu awaongoze wanafunzi wabaini njia mbalimbali, za kuhifadhi kazi za fasihi simulizi. Wanafunzi wataje njia mbalimbali za kuhifadhi kazi za fasihi simulizi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
PRESENTATION 20 Ongoza Wanafunzi wataje njia mbalimbali za kuhifadhi kazi za fasihi simulizi wanafunzi wabaini njia mbalimbali, za kuhifadhi kazi za fasihi simulizi. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REFLECTION 5 aongeze Wanafunzi wajadili ubora na udhaifu wa kila njia za kuhifadhi kazi za fasihi simulizi. Wanafunzi wajadili ubora na udhaifu wa kila njia za kuhifadhi kazi za fasihi simulizi. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REINFORCEMENT 5 aongeze Wanafunzi wajadili ubora na udhaifu wa kila njia za kuhifadhi kazi za fasihi simulizi. Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
CONCLUSION 5 Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi

STUDENT'S EVALUATION
Kwa zaidi ya asilimia 90 ya wanafunzi wameelewa kipindi kwa ufasaha

TEACHER'S EVALUATION
Maarifa ya kutosha nimeyatoa, na idadi kubwa ya wanafunzi wameelewa kipindi

REMARKS
Kwa wanafunzi ambao hawakuelewa mada vyema, watahudhuria watahudhuria vipindi vya ziada

FILL THE FORM BELOW TO DOWNLOAD MPANGO KAZI WA UHIFADHI KAZI ZA FASIHI SIMULIZI- KISWAHILI KIDATO CHA PILI For T.Sh. 1,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256